.

.

.

.

Thursday, October 04, 2012

SIMBA YATOKA SARE YA 1- 1 NA YANGA

Golikipa wa Yanga, Yaw Berko akiruka bila mafanikio kuokoa mpira uliopigwa na Amri Kihema na kuhesabu bao la kwanza kwa Simba.

  

 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Suleiman Kova akiangalia hali ya usalama wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara kati ya Simba na Yanga unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
 Kikosi cha Simba
Kikosi cha Yanga

No comments:

Post a Comment