| Bwana harusi Emmanuel Mwangosi akiwa na mkewe Magreth Mtebe mara tu baada ya kufunga pingu za maisha jana katika kanisa la Agape jakaranda jijini mbeya |
| Sasa bana na bibi harusi wanaingia kanisani tayari kwa ibada ya ndoa |
| Sasa tu mwili mmoja kitakachotutenganisha ni kifo tu jina la bwana libarikiwe |
| Hapa bwana harusi akimvisha mkewe pete huku bibi harusi akiwa katika furaha kubwa na kumshukuru mungu kwa kumuepusha mumewe katika ajali iliyotokea |
| Bwana harusi akipokea cheti cha ndoa toka kwa mchungaji Mwasota |
| Wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa |
KWA HISANI YA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment