.

.

.

.

Saturday, December 08, 2012

SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA HAPA LONDON KUFANYIKA USIKU HUUWatanzania wote mnakaribishwa ktk sherehe za miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania, ukumbi wa The Royal Regency, High street North, Manor Park, London, E12 6TH


Kingilio ni £10 only kabla ya saa 6 usiku, baada ya hapo ni £15.
Chakula safi na nyama choma vitakuwepo, pamoja na burudani nzito Live kutoka Jambo Band pamoja na our own  Soloist Francia.

Woote mnakaribishwa kufurahi na kujumuika na watanzania wenzenu kutoka sehemu mambali mbali

Asanteni sana

No comments:

Post a Comment