.

.

.

.

Wednesday, January 02, 2013

SAJUKI AFARIKI DUNIA


 Msanii Juma Kilowoko almaarufu kwa jina la Sajuki, amefar iki dunia.

Msanii Juma Kilowoko (sajuki)amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili ambako  alikokuwa amelazwa.

Chanzo cha habari kinasema  kuwa msanii huyo hadi umauti unamkuta alikuwa amegundulika kuwa na tatizo la Kansa ya ngozi na upungufu wa damu. 
   Marehemu anatalajiwa kuzikwa ijumaa hii kwenye makaburi ya Kisutu.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi AMEEN

No comments:

Post a Comment