.

.

.

.

Tuesday, March 05, 2013

WOMEN CELEBRATIONS 2013Vazi la kitenge ndio vazi lililotawala kwa asilimia 90% siku ya Women's Celebration, mavazi hayo yalioshonwa kwa mitindo aina mbali mbali yaliwapendeza sana wageni waliohudhuria shughuli hiyo pale Diomond Jubilee, V.I.P Hall, March 3,2013.

MITINDO YA NYWELE

Masuala ya Nywele nayo hayakuwa nyuma katika shughuli hiyo ya Women's Celebration ,Diamond Jubilee V.I.P hall, march 3,2013. Picha zimepigwa na Adam H. Mzee pamoja na John Photo.

KWA HISANI YA JOHN BADI

No comments:

Post a Comment