.

.

.

.

Wednesday, April 17, 2013

BI KIDUDE AFARIKI DUNIA ASUBUHI HII


Mwanamuziki mkongwe Bi Kidude amefariki dunia leo huko Zanzibar.Bi Kidude amefariki kutokana na maradhi ya kisukari na uvimbe kwenye kongosho.Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake Raha Leo mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment