.

.

.

.

Thursday, April 18, 2013

TANGAZO LA MAZISHI YA MZEE WILLIAM MUGURUSI MAKENE


Mpendwa Baba yetu Mzee William Mugurusi Makene aliyefariki dunia siku ya Jumatatu anatarajiwa kuzikwa kesho katika makaburi ya Kinondoni saa tisa Mchana.Kabla ya hapo kutakuwa na misa itakayofanyika katika kanisa katoliki la MWENGE saa sita . Asubuhi kutakua na misa fupi na last respect nyumbani kwake na marehemu Kijitonyama.

 Tumempenda, Mungu amempenda zaidi. Praise be to God.

No comments:

Post a Comment