.

.

.

.

Friday, May 31, 2013

LA MGAMBO WATANZANIA WAPENDA SOKA UINGEREZA


WATANZANIA MLIOPO UINGEREZA HUSUSAN LONDON NA
VITONGOJI VYAKE  MNAOMBWA KUJITOKEZA KWA
WINGI KUZISHANGILIA TIMU ZETU TANZANIA BARA  
NA  ZANZIBAR ISLANDS.

KUANZIA KESHO
JUMAMOSI YA  TAREHE 01/ 06/ 2013

TANZANIA INA MECHI MBILI JUMAMOSI KICK OFF SAA SITA
KAMILI MCHANA NA SAA TISA JIONI.
Angalia hapo chini ratiba kamili ya michuano hiyo

KWA HABARI ZAIDI NA MATEKEO USIWACHE KUTEMBELEA 
HAKUNA KIINGILIO (NI BURE ) NI FAMILY DAY
NA KUTAKUWA NA NYAMA CHOMA 

No comments:

Post a Comment