.

.

.

.

Monday, September 09, 2013

ZUHURA MAFTAH AFARIKI DUNIA


Kwa mujibu wa mtandao wa bongomovies.com, mwigizaji wa bongo movies Zuhura Maftah maarufu kama Malisa (Pichani) amefariki dunia.
Bado hakuna taarifa kuhusu chanzo cha kifo chake. Tutawaletea habari zaidi njisi tutakavyozipata.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za marehemu
253397_153614188111268_850033983_n

528584_153614434777910_1958952520_n
251113_153614864777867_254613696_n

No comments:

Post a Comment