.

.

.

.

Sunday, January 19, 2014

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI  • Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu.
  • Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe.
  • Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Hussein Mwinyi.
  • Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Taitus D Kaman..
  • Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Saada Mkuya Salimu
  • Waziri wa Afya Seif Selemani Rashidi
MAWAZIRI WADOGO

 Waziri Mdogo - Fedha Adam Malima

Waziri Mdogo -Afya Kebwe


Mhagama Waziri Mdogo -  Elimu  Mhagama

Waziri Mdogo Watoto Kinana Mama -Pindi Chana

Waziri Mdogo  - Mifugo Telele

Waziri Mdogo Ardhi Simbachawene 

Waziri Mdogo wa Maji Makala

Kilimo Waziri Mdogo Godfrey Zambi 

Waziri Mdogo Habari  - Juma Mkamia 

Waziri Mdogo Mali Asilia Na Utalii    -  Mgimwa 
Waziri Mdogo Madini Kitwanga - Hakuna Mabadiliko Ofisi ya Rais 
 

 - Ofisi ya Makamu Wa Rais - Naibu Waziri Kitwanga amehamishwa na nafasi yake imejazwa na Mhe. Ali Mwalimu 

- Mwigulu Nchemba amekuwa Naibu Wizara ya Fedha (Sera). Aliyekuwa nafasi hiyo sasa ni Waziri Kamili 

- Uchumi na Mapato sasa anatoka Janet Mbene na inajazwa na Adam Malima 

-Asha Rose Migiro sasa ni Waziri wa Katiba na    Sheria 

- Ulinzi na Kujenga Taifa  - Hussein Mwinyi 

- Mambo ya Ndani - Mathias Chikawe 

- Afya na Ustawi wa Jamii - Naibu wake sasa ni Waziri Kamili; naibu wa sasa ni Dr. Kebwe S. Kebwe 

- Mulugo ameondoshwa rasmi serikalini. Nafasi yake imejazwa na Jenista Muhagama 

- Pindi chana amejaza nafasi ya Ummi Mwalimu - Jinsia na watoto 

- Mifugo na Maendeleo ya Mifugo - Titus Kamani atakuwa Waziri mpya. Naibu ni Telele na hivyo Wizara nzima imepata mawaziri wapya 

- Ole Medeye OUT - Simbachawene kachukua nafasi yake (Naibu wa Prof. Tibaijuka) 

- Naibu Kilimo - Zambi 

- Habari - Naibu ni Juma Nkamia 

- Nyalandu amekuwa Waziri Kamili. Naibu ni Mahmood Hassan Mgimwa 

- Muhongo na Naibu wake wamebakizwa. Nishati atachukua Charles Kitwagwa akiichukua toka kwa Simbachawene

Dr. Lengeya Kamani Waziri wa Mifugo

1 comment:

  1. info on this blog is very helpful to us in making a new blog, and a tight handshake Greetings from our Obat Penggemuk Badan , thank you

    ReplyDelete