.

.

.

.

Saturday, January 10, 2015

CHUCHU NA RAY MAMBO BADO MSWANO

STAA wa Filamu Bongo, Chuchu Hans juzi alifungukia madai ya kwamba ameachana na mchumba wake Vicent Kigosi ‘Ray’, akaeleza kuwa, hakuna ukweli wowote juu ya hilo.Chuchu alifikia uamuzi wa kufafanua juu ya madai hayo juzi kufuatia tetesi zilizokuwa zimeenea kwamba yeye na kipenzi chake huyo wametibuana na sasa kila mtu kimpango wake



RAY NA CHUCHU HANS







No comments:

Post a Comment