.

.

.

.

Tuesday, January 06, 2015

JOH MAKINI NA MENINAH !!!


Kuna Tetesi za Mtaani  kuwa Mwanamuzi Joh Makini ameangukia kwenye dimbwi la penzi na mwanamuziki mwenzake mrembo Meninah...
Inasemekana mapenzi yao yalianza baada ya kufanya Video ya pamoja ambayo imesababisha ukaribu zaidi kwa wawili hao

No comments:

Post a Comment