.

.

.

.

Tuesday, July 28, 2015

MH.LOWASSA AJIUNGA RASMI CHADEMA


Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akimkabidhi kadi ya kujiunga na CHADEMA Waziri mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa.

Mh Freeman Mbowe akimkabidhi kadi ya Kujiunga na CHADEMA mama Regina Lowassa.

Waziri Mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa na Mkewe mama Regina Lowassa wakionyesha kadi zao za Uanachama wa CHADEMA mara baada ya kujiunga na CHADEMA katika hafla iliyofanyika Bahari Beach Hotel.

No comments:

Post a Comment