.

.

.

.

Tuesday, February 16, 2016

SHOW YA "LADY IN RED" JIJINI LONDON


 Lady in Red iliyofanyika siku ya Jumamosi Februari 13, 2016 jijini London, uingereza maalum kwa siku ya wapendanao iliyoandaliwa na ClubMalibu na kufanywa na mama nguli wa mitindo Asya Idarous Khamsini huku ikinogeshwa na msanii wa Bongo Flava Rich Mavoko.
 Walimbwende wakipita mbele ya mashabiki wa mitindo.

Kwa Hisani ya Matukio- Michuzi

No comments:

Post a Comment