.

.

.

.

Saturday, July 30, 2016

MH.MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AWASILI BOSTON NCHINI MAREKANI


Makamo wa Kwanza Mstaafu wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, walipowasili uwanja wa ndege wa Logan uliopo Mjini Boston

Maalim Seif Sharif Hamadi akipata picha ya pamoja na wenyeji wa mji huo

Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akipata picha ya pamoja na Wazanzibar waishio jijini hapa, ili kujianda na  mkutano wa hadhara utakaofajika leo July 30, MAHALI: 42 Charles St Boston
MA 02122.

MDA: Kuanzia 5:pm mpaka 7:pm
Mgeni rasmi ni Katibu mkuu wa CUF.
Maalim Seif Shariff Hamad

Nyote munakaribishwa

No comments:

Post a Comment