Ile Filamu ya VICE VERSA iliyokuwa jikoni kwa muda mrefu, inatarajia kuwa mitaani kuanzia leo.
Mwanadada Lucy Komba ameweza kuwa kinara mzuri katika filamu za Kitanzania, na pia kuweza kumudu nafasi yake katika filamu hii.Filamu hiyo itasambazwa na kampuni yake katika mikoa yote ya Tanzania Bara na hata Visiwani. Ndani ya filamu hiyo Lucy ameweza kuitumia nafasi yake , zaidi ya kile alichowahi kukionyesha katika kazi nyingine.Ndani ya filamu hiyo kisa kizima kinasisimua na hata waigizaji wameweza kuongoza nafasi zao ipasavyo.Wasanii wengine walioshiriki katika filamu hiyo ya Viceversa ni pamoja na Mary John, Ally Rajab, Mohammed Mwikongi, Angelo James pamoja na Dennis Sweya.

No comments:
Post a Comment