.

.

.

.

Monday, September 22, 2008

KUMBUKUMBU MISS TANZANIA UK 2008


Picha ya kumbukumbu siku ya mashindano yaliyompa ushindi TUSEKILE na kutwaa taji la Mrembo wa Tanzania nchini Uingereza kwa mwaka 2008.Hawa walikuwa majaji toka kulia ni Mshindi wa big brother Afrika msimu uliopita RICHARD, Uncle HASHIM LUNDENGA na mwanadada aliebobea katika fani ya mavazi JACKLINEY MAFURU.

No comments:

Post a Comment