.

.

.

.

Sunday, September 21, 2008

MAMBO YA CLOUDS ENT.


Mwanamuziki gwiji mpiga Gitaa la Solo wa ex.Maquis Original ya mjini Dar-Es-Salaam Kahanga Dekula' Vumbi'Anatarajia kuwasili Dar tarehe 02.Oktoba kwa mwaliko wa Kampuni Clouds Entertainments .Maestro Vumbi ataungana na magwiji wenzake akina Kanku Kelly,Tshimanga Assosa,Mafumu Bilali,Keppy Kiombile...n.k Katika kutoa Burudani hiyo tarehe 10-11. Oktoba 2008 katika Ukumbi wa Police Officers Mess Osterbay Dar-Es-Salaam ,Maestro anatarajia kufurahisha wapenzi wake na mitindo mipya na ya zamani; Kamanyola,Ogelea piga mbizi,Zembwela,Sendemaa,Washawasha,Sultan Qaboos na uzinduzi wa CD yake mpya'RUMALIZA'.kaa chonjo... mcheza kwao hutunzwa.

No comments:

Post a Comment