.

.

.

.

Wednesday, October 08, 2008

BINAMU NDANI YA CLUB JJ

Khamis mwinjuma AKA mwanafalsafa AKA Binamu kati akiwa na Dj Msekwa shoto na Dj Rich one katika pozi ndani ya ukumbi maarufu wa CLUB JJ jijini Leicester jumapili iliopita kwenye shoo ya mwanadada K-ylnn.Keshokutwa atakuwa Jijini London kwenye ukumbi maarufu nchini Uingereza wa CLUAFRIQUE

No comments:

Post a Comment