.

.

.

.

Wednesday, October 22, 2008

MWENYEZI MUNGU WANUSURU VIUMBE HAWA

MTOTO MZURI KAMA HUYU MWENYE FURAHA NA AFYA NJEMA AKIWA NA MAMA YAKE MZAZI HIVI MAJUZI ,TATIZO NI ALBINO HIVYO KUMFANYA MAMA YAKE PAMOJA NA TABASAMU KUBWA KUWA NA MASHAKA MAKUBWA JUU YA MAISHA YA MWANAYE KUTOKANA NA IMANI POTOFU ZA KISHIRIKINA ZA BAADHI YA WATU NCHINI TANZANIA KUWA VIUNGO VYA MAALIBINO NI MALIGHAFI YA KUPATIA UTAJIRI.

No comments:

Post a Comment