.

.

.

.

Friday, October 10, 2008

RAIS KIKWETE ZIARANI MBEYA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia maelfu ya wakazi wa mji wa Mbeya waloijitokeza kumlaki kwa shangwe wakati wa mwanzo ya ziara yake ya kikazi leo Mkoani humO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali mtoto aliyejiatambulisha kwa jina la Lulu Patti muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mbeya tayari kwa kuanza ziara ya siku kumi mkoani humo mabapo atazindua na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo

No comments:

Post a Comment