.

.

.

.

Friday, October 10, 2008

MWANA FA KUTUMBUIZA CLUB AFRIQUE LEO USIKU


Leo ni leo baada ya makamuzi ya nguvu mjini Reading wiki iliopita leo usiku Binamu ataendeleza libeneke la kuwapagawisha wapenzi wa bongo flava hapa UK katika ukumbi mwanana ,na maarufu wa CLUBAFRIQUE Canning town E16 2QL kuanzia saa nne usiku , kiingilio ni Paundi 10 tu. NYOTE MNAKARIBISHWA.

No comments:

Post a Comment