Wanamuziki walioko juu kwenye fani ya muziki kutokea Bongo Nuru na Alikiba watafanya show ya nguvu ndani ya mji wa Stockhom,Sweden ...22 November...Show hiyo itafunguliwa rasmi na mwanamuziki,mrembo Nuru Pichani Juu na kumaliziwa na Alikiba...
Nyote Mnakaribishwa...
No comments:
Post a Comment