Raisi wa jamhuri ya watu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na waziri mkuu wa denmark Mh. Anders Fogh Rasmussen (kati mbele), Naibu Katibu Mkuu wa UN Dk. Asha Rose Migiro, Mwenyekiti wa Tume ya Africa Jean Ping (shoto mbele) na makamishna wa tume ya maendeleo Africa katika mkutano wao wa pili uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia
No comments:
Post a Comment