.

.

.

.

Sunday, November 02, 2008

MALKIA WA DENMARK AWASILI TANZANIA

Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Malkia Margareth II wa Denmark na mumewe Prince Henrik pamoja na watoto wa Rais Rashid kikwete Chodo (kushoto) na Khalfan Kikwete( kulia) muda mfupi baada ya kuwasili ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni kwa ziara ya siku nne nchini Tanzania

No comments:

Post a Comment