.

.

.

.

Sunday, November 02, 2008

TK NA MUMEWE KATIKA VAZI LA KIMASAI

Pichani ni usiku wa halloween West Hollywood mwanadada TK na mumewe Cody wakiwa wamevalia kimasai.Tunakushukuru kwa kuitangaza nchi yetu.Kwa habari zaidi tembelea www.total-knockout.blogspot.com

No comments:

Post a Comment