.

.

.

.

Wednesday, December 24, 2008

MISS TZ-UK 2007 ACHUMBIWA NA MNIGERIA

Gladys Katega Miss Tanzania UK wa mwaka 2007 amechumbiwa wiki iliopita na kijana mtanashati wa Kinigeria kwa jina la Austin Otorolin mjini Birmingham katika kitongoji cha West Bromwich na Inshaalah mungu akipenda mwaka kesho watafunga ndoa .

No comments:

Post a Comment