Khalid Mohammed ‘maarufu kama TID’ aliyekuwa akitumikia kifungo cha mwaka mmoja katika gereza la Segerea, sasa ni mtu huru baada ya kupitia msamaha kwa wafungwa uliotolewa na JK katika maadhimisho ya miaka 47 ya Uhuru.TID ambaye Julai 23, 2008 alihukumiwa katika mahakama ya Kinondoni kutokana na kujeruhi, alikuwa ni mmoja ya wafungwa 4,306, walionufaika na msamaha huo ambao ni kwa mujibu wa Ibara ya 45 (1) (d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kabla ya msamaha huo, TID alikuwa amekata rufaa mahakama kuu kupinga kifungo alichopata, na kila mdau anasubiri nini kitaendelea; je, atafuta hiyo kesi ama ataendelea nayo ili kujisafisha jina?
Kabla ya msamaha huo, TID alikuwa amekata rufaa mahakama kuu kupinga kifungo alichopata, na kila mdau anasubiri nini kitaendelea; je, atafuta hiyo kesi ama ataendelea nayo ili kujisafisha jina?
Dear ATC,
ReplyDeletePlease get your acts together or privatise the struggling Company. Remember, this is the 21st century where free market economy, accountability and efficiency reign.Otherwise mtakuja kuwadhuru wananchi bila sababu yoyote. There is no need to have a national Airline if you can't run it.