FUVU la kichwa cha binadamu limekutwa nyumbani kwa mfanya biashara maarufu wa Maili moja mjini Kibaha, Ally Msuya maarufu kwa jina la Puku likiwa limehifadhiwa kwenye ndoo ndogo aina ya Sadolini iliyokuwa na mafuta ya kupikia yanayojulikana kwa jina la samli.
Fuvu hilo linaonenaka kuwa ni la mzee wa umri kati ya miaka 68 na 75 ambaye alikuwa ni muumini wa dini ya kiislam kutokana na kwamba kwenye paji la uso imeonekana sijida inayoonyesha kuwa alikuwa ni mswahilina na muumini mzuri wa sala na kwamba lilikuwa limehifadhiwa chumbani kwake kwenye uvungu wa kitanda anacholalia mfanyabiashara huyo na mkewe
Kwa mujibu wa mashuhuda na majirani walisema kuwa fuvu hilo ambalo lilikuwa limehifadhiwa kwenye kisadolini kidogo lilikuwa limehifadhiwa ndani ya mafuta aina ya Samli ili lisiweze kutoa harufu kali ya uozo ndani ya nyumba hiyo kwa kipindi chote ambacho ililengwa kikae humo.

No comments:
Post a Comment