.

.

.

.

Tuesday, February 17, 2009

BIDHAA MPYA YA ZAIN YAZINDULIWA

Meneja Bidhaa wa Zain Tanzania, Deo Tarimo (kushoto), Meneja Uhusiano wa Zain Tanzania, Beatrice Mallya, Mkurugenzi wa Huduma za Jamii wa Zain Tanzania, Irene Mlola na Mkurugenzi wa Fedha wa Zain Tanzania, Heiko Schlittke wakionyesha katalogi za Zap kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya benki kupitia simu za mkononi iliyozinduliwa na Zain,jijin Dar

No comments:

Post a Comment