.

.

.

.

Friday, February 13, 2009

BONGO STAR SEARCH 2009

Afisa Udhamini na Mawasiliano wa Vodacom. George Rwehumbiza akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana juu ya udhamini wao katika shindano la Bongo Star Search 2009 limalotarajiwa kuanza hivi karibuni. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark waandaaji wa Shindano hilo,Madame Rita Paulsen.

No comments:

Post a Comment