.

.

.

.

Thursday, February 12, 2009

MTU NA MKEWE MAHAKAMANI KWA MAUAJI

Watuhumiwa wa kesi ya mauaji, Mr Vinoth Nathesan na mkewe Komal Bhupendra, wakiwa mahakamani baada ya kusomewa mashitaka ya mauaji katika Mahakama ya Kisutu leo. Wanatuhumiwa kumchinja Muhindi mwezao Abdul baswit kwa kumcharanga kwa visu na mwili wake kuuweka kwenye begi la nguo kabla wao kukamatwa wakiwa uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam tayari kukimbilia kwao India.

No comments:

Post a Comment