.

.

.

.

Tuesday, February 10, 2009

MALAIKA.......SHOO YA MUSTAFA HASSANALI JUMAMOSI ILIOPITA

Moja ya modoz akionyesha vazi la nguvu.
Kim na Fide wakiwakilisha kwenye onesho hilo "Little Theatre"

Wabunifu wa mitindo wakifuatilia kwa karibu onyesho la mavazi la Malaika lililoandaliwa na Mustafa Hassanali ambalo lilifanyika pale Little Theatre Club juzi jumamosi jijini Dar. Toka kushoto ni Khadija Mwanamboka, Farha, Fatma Amour na aliyekuwa balozi wa Redds Victoria Martini.


No comments:

Post a Comment