.

.

.

.

Tuesday, February 17, 2009

NGOMA YA MAAFISA WA BOT BADO NGUMU


Amatus Liumba

-Upande wa mashitaka wakataa baadhi ya hati zake za dhamana Mahakamani
-Ni aliyo orodhesha kuku, Mbuzi, Kondoo, Ng'ombe, Matrekta
-Masharti ni kufiisha sh bilioni 55 ya dhamana
-Akabidhi hati ya zamani ya kusafiria nayo yapigwa chini
-Haliya hewa Mahabusu yazidi kumtaabisha

WALIOKUWA maofisa wa ngazi za juu katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ambao wanadaiwa kutumia vibaya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh bilioni 200, wamekosa tena dhamana baada ya upande wa mashtaka kukataa baadhi ya hati za kujidhamini walizowasilisha jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kwa madai zina makosa.

No comments:

Post a Comment