.

.

.

.

Tuesday, February 17, 2009

SAUTI ZA BUSARA ZANZIBAR ZAFANA

kiongozi wa bendi ya wahapahapa Paul Ndunguru akiimba huku mashabiki waliovamia jukwaani kwa utamu wa midundo yao wakicheza kwa furaha. mashabiki wa muziki tayari wanamfananisha paul na youssou nduor kwa sauti na umahiri wake jukwaani.
Kwa hisani ya Michuzi blog

No comments:

Post a Comment