.

.

.

.

Sunday, February 22, 2009

SHEREHE ZA SILVER JUBILEE YA POLYCAP CARDINAL PENGO

Marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa pamoja na Rais Jakaya Kikwete wakiwa wamejumuika pamoja katika sherehe za kumpongeza Polycarp Kadinali Pengo kwa kutimiza miaka 25 ya Uaskofu zilizofanyika katika viwanja vya Msimbazi centre,ILALA jijini Bongo.

No comments:

Post a Comment