.

.

.

.

Tuesday, March 24, 2009

HEMEDI SULEMANI HUYUUU.........

Wimbo Mpya ‘Unachotaka ni mapenzi’ umempa dili la kupiga shoo Kijana Hemedi Suleimani kwenye shindano la kumtafuta MR HANDSOME litakalofanyika Machi 28, mwaka huu.Mratibu wa mpambano huo, Methuselah Magese amesema kwamba, Hemedi ni miongoni mwa wasanii chache waliopata bahati ya kusimama katika jukwaa la mpambano huo ambao utapigwa katika Hoteli ya New Africa, Dar es Salaam.“Katika shindano hilo ambalo litawakutanisha vijana watanashati zaidi ya kumi majaji watakuwa ni Nasreen Kareem, Big Brother 2007, Richard Bezuedenhout na Steven Kanumba,” alisema Magese.

No comments:

Post a Comment