.

.

.

.

Thursday, March 05, 2009

KONGAMANO LA KINA MAMA

Mgeni rasmi Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii Mh Aisha Kigoda akifafanua jambo mbele ya wanaharakati waliofika jana kwenye kongamano la kuelekea katika maadhimisho ya wiki ya wanawake duniani ambapo kauli mbiu yake ya mwaka huu kitaifa ni kuwahudumia wanaoishi na virusi vya ukimwi ni jukumu la wote wanawake,wanaume na jamii nzima.

No comments:

Post a Comment