.

.

.

.

Saturday, March 28, 2009

LEO VATICAN SINZA

Wanamuziki ambao walikuwa wakiunda kundi la muziki wa dansi la Mchinga Sound lililokuwa likiongozwa na Adolf Mbinga Leo jioni katika ukumbi wa Vaticani City uliopo sinza watafanya mjumuiko wa bendi hiyo ikiwa ni pamoja na kumpa pole aliyekuwa mmiliki wa bendi hiyo Mudhihiri Mudhihiri ambaye alikatika mkono kwa ajali ya gari wakati alipokuwa ikielekea jimboni kwake.

Bendi hiyo iliundwa na Adolf Mbinga ,Prince Mwumini Juma,Mashaka Karunde,nk watakumbuka enzi zao
Wanenguaji ambao wataongoza jahazi la unenguaji ni Amina Rusha Roho,Grece Kiza Kinene,na Queen Vero.

No comments:

Post a Comment