.

.

.

.

Saturday, March 28, 2009

SEHEMU ZA SIRI ??!!!

mimea nayo ina sehemu za siri?
Wanyama pia wanasehemu za siri ?
lakini twaziitaje hizo sehemu zao za siri huku wengi wao wanyama sehemu hizo za siri zikiwa wazi?
Kwanini binadamu tu,wengi hupenda kumwona yeye ana sehemu za siri?Kwanza tunaweza sema binadamu huambiwa ana sehemu za siri kwa sababu hujitahidi kila kukicha kufunika sehemu zake za siri kwa kutumia mavazi ya aina mbalimbali.
Nini maana ya neno SEHEMU ZA SIRI?nini maana ya neno SIRI?

Kwanza twaweza sema SIRI ni SIRI ambayo huwezi kushare na mtu mwingine licha ya binadamu.
Sasa basi kama SIRI ni ya mtu mmoja kwanini bado hizi sehemu huitwa sehemu za siri wakati mimi nilishaingia katika sehemu zako za siri au tumeshawai kuingina katika sehemu zetu za siri?Je mimi nikishajuwa sehemu yako ya siri kuna siri tena katika hiyo sehemu?
Kwanini jamii isikubali kuita sehemu fulani jina lake la halisi?Kwa mfano
mkono
vidole
kichwa
pua
masikio
matako
paja na n.k
au pua sio sehemu ya siri?
Ngoja kwanza;nikitu gani huamsha midadi kwa mwanaume na kumtaka mwanamke sehemu zake za siri?Paja laweza kuwa sehemu ya siri kwa sababu humnyegesha mwaname na kumtaka kingono.


Hivi CHANGUDOA AU MALAYA ana sehemu za siri?Au MSENGE anasehemu za siri?
Binadamu ana sehemu ngapi za siri?Kama kweli ni siri kwanini wengi wetu huwachia wengine wakachokonoa wapendavyo sehemu zetu za siri kama kweli ni sehemu za siri?
Kwanza tunajuwa ni sehemu za siri na nisehemu ambayo haiwezi kufikiwa hivihivi lakini bado KASEHEMU HAKO KADOGO KA SIRI HUKAVISHA VIJINGUO KAMA CHUPI?

Umri gani mtoto hutambua naye pia anasehemu zake za siri?Kwanini tusiwaambie mtoto wetu majina halisi ya sehemu zao za siri na manufaa ya sehemu hizo za siri katika jamii?

Imeandikwa na Ringojr

No comments:

Post a Comment