.

.

.

.

Thursday, March 26, 2009

MBUNGE WA SAME APATA TUZO


Mbunge wa Same Mashariki Mh. Anne Kilango Malecela amepewa tuzo na Ubalozi wa Marekani ya '2009 Tanzanian Woman of Courage'. Tuzo hiyo amekabidhiwa leo na Afisa wa Ubalozi Marekani Larry André. Mwanamke wa kwanza kupata tuzo hiyo ni Hellen Kijo Bisimba 2009 wa Kituo cha Haki za Binadamu. Kilango amepata tuzo hiyo kutokana na ujasiri wake aliouonyesha Bungeni mwaka jana kwa kupigavita ulajirushwa.

No comments:

Post a Comment