.

.

.

.

Wednesday, March 25, 2009

NAAKAYA SUMARI..........

Msanii aliyesaini mkataba na kampuni kubwa Duniani ya Sony,Nakaaya Sumari amevalishwa pete na Mfokaji M1 kutoka kundi la Dead Prez...Nakaaya amesema kwamba yeye ndiye official Girl wa M1 na kubainisha ameshavalishwa pete na baadaye mwaka huu wanatarajia kufunga ndoa.
Mwanzo Nakaaya alikuwa Mchumba wa Gaidi Faraji ambaye wameachana mwaka jana.

No comments:

Post a Comment