.

.

.

.

Wednesday, March 25, 2009

POLE SANA ......................

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Luteni Col. Mrenge katikati akimpa pole mkurugenzi wa Paradise Resort Mahdi Guled mara baada ya kuwasili katika eneo la tukio ambapo Hoteli kubwa ya kitalii ya Paradise Resort iliteketea kwa moto.
aliyekaa chini ni mwenyekiti wa Paradise Bw. Guled Abdallah

No comments:

Post a Comment