.

.

.

.

Wednesday, March 25, 2009

MV.MAGOGONI.........................

Kivuko Cha Kisasa Cha Mv. Magogoni kikiwa kimekula nyomi la uhakika kabisa,kikiwa kimetokea ferri kuelekea kigamboni.
Chombo kiko poa sana maana kinabeba watu wengi magari,pikipiki nyingi baiskeli ndio usiseme kabisa maana kinasanya karibu kila kitu, heko sana Serikali ya Tanzania kwa kazi nzuri walioifanya kutuletea kivuko kizuri na cha kisasa na nawaombea kila la kheri ili waongeze na kingine kama hiki.

No comments:

Post a Comment