Mmoja wa majeruhi waliofikishwa katika hospitali teule ya wilaya ya (Nyerere DDH) kufuatia vita iliyoibuka kati ya kabila la wangoreme na wakurya katika kijiji cha Mosongo kata ya Nyamatare wilayani Serengeti ,ambapo inadaiwa watu wanne wamekufa na nyumba zaidi ya 20 kuteketezwa chanzo kikiwa ni uhasama unadaiwa kusababishwa na wizi wa mifugo. Watanzania tunafanyia mzaha haya mambo, sijui baadae itakuwaje.
No comments:
Post a Comment