Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) Machi 31 2009 imetangaza kupiga marufuku uagizaji, uuzaji na ununuaji wa dawa zote za METAKELFIN kutokana na dawa hizo kubainika kuwa ni bandia. Pichani ni Mkurugenzi wa TFDA, Margareth Ndomondo akionyesha dawa hizo kwa waandishi wa habari.
No comments:
Post a Comment