.

.

.

.

Monday, April 06, 2009

YATIMA WA KIMBARI RWANDA KUPIGWA TAFU

Toka shoto Wanamuziki Sauda Simba Kilumanga, Naakaya Sumari, Chidi Benzi, na Enika Bukuku

Nakaaya ametunga wimbo unaoitwa "I am in Africa" unaowaonya waafrika kutothubutu kufanya mambo ambayo yanaweza kupelekea mauaji ya Kimbari kama yaliyotokea nchini Rwanda miaka 15 iliyopita lakini pia kuhamasisha waafrika wakiwemo Tanzania kuchangia japo dola moja tu kwa ajili ya kusaidia yatima waliopoteza wazazi kutokana na mauaji hayo.
Ubalozi wa Rwanda na Umoja Wa Mataifa wataadhimisha kukumbuka mauaji hayo kesho kwenye ukumbi wa Karimjee jijini.

No comments:

Post a Comment