.
.
Monday, May 04, 2009
AFRICAN SPORTS VS. COASTAL UNION ENZI HIZO
napenda kuchukua fursa hii kuwauliza wakazi wa Tanga kulikoni soka mkoani hapo limepotea kabisa kulikuwa na timu za kutisha kama hizi
COASTAL UNION
1.HAMISI MAKENE 2.SAID KORONGO 3.DOGLAS MUHANI 4.JOSEPH LAZARO 5.YASINI NAPILI 6.KASSA MUSSA 7.MOHAMEDI KAMPIRA 8.ALLY MAUMBA 9.JUMA MGUNDA 10.HUSSEIN MAKURUZO 11.RAZACK YUSUPH
AFRICAN SPORTS
1.DANCUN MWAMBA/SALIMU WAZIRI 2.FRANCIS MANDOZA 3.BAKARI TUTU 4.HASSAN BANDA 5.MHANDO MDEVE (C) FATHER 6.RAPHAEL JOHN 7.ABBAS MCHEMBA 8.TWAHA OMARI 9.VICTOR MKANWA 10.MCHUNGA BAKARI 11.JUMA BURHANI(KAKOKO) RESERVE 1.ALLY MTUMWA 2.DONALD SEMKIWA 3.OMARI SELEMANI(MWARABU) 4.MARTIN MAHIMBO 5.DADI PHARESS 6.HAMZA MANENO 7.MWARAMI MGUMBA 8.ABDUL
KOCHA
1.SILSAID MZIRAY 2.ABDALLAH MABUDAH
Wadau tuleteeni list ya timu ya Pamba na Pan African tuziweke kukumbussha kabumbu la soka enzi hizo bila kusahau TIMU YETU YA TAIFA STARS enzi za kina PETER TINO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wadau hii list ilikuwa mwaka 1982 vesus Nigeria ikijulikana kama The Green Eagles wakati huo na sio Super Eagles km sasa, Taifa Stars ilisimama hivi, Juma Pondamali,2.mohamed Hashim Mkweche,3. Mohamed Kajole,4.Athuman Juma (sio juma chama)5. Mohamed Bakari Tall.6.Mohamed Adolf Rishard,7. Gordian Mapango,8.Hussein Ngulungu,9.Mohamed Salim,10.Peter Tino,11.Thueni Ally, :subs,Jaffari Abdulrahaman,Justin Simfukwe, Ibrahim Magongo,Ibrahim Kiswabi,Alli Katolila, wengine sikumbuki wadau,ni mi mdau mbegu toka Reading,UK
ReplyDeleteWadau hiki ni kikoso cha Pamba ya Mwanza in late 80's to early 90's:
ReplyDelete1. Paul Rwechungura, 2. David Mwakalebela, 3. Abdallah Boli, 4. George Masatu, 5. Rashid Abdallah, 6. Hussein Marsha, 7. Beya Simba, 8. Khalfan Ngassa, 9. Fumo Felician, 10. Hamza Mponda, 11. George Gole
Reserve: Nico Bambaga, Juma Amir, Maonwa Mkami, James Washokera, Andrew Godwin
pamba nayoikumbuka mimi ni ya akina; japokuwa sikumbuki vizuri mpangilio wa wachezaji na namba zao
ReplyDelete1. madata lubigisa, 2. yusuf ismail bana, 3. athman juma chama, 4. juma bomba, 5. joram mwakatika, 6. james ng'omg'a, 7. khalid bitebo, 8. anthony nyembo, 9. , 10. , 11. issa meloo
namba 9 na 10 nimewasahau wadau nikumbusheni