Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza kikao cha Kamati ya pamoja yaSerikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Ofisinikwake jijini Dar leo. Kushoto kwake ni Waziri Mkuu, Mizengo Pindana kulia kwake ni Waziri Kiongozi wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha.
No comments:
Post a Comment