Mbunge wa Kyela Dk. Harrison Mwakyembe akiingizwa katika gari la wagonjwa la kampuni ya Ultimate baada ya kupokelewa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo akitokea Iringa alipo patia ajali ya gari na kupelekwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa matibabu.
No comments:
Post a Comment